Pacho Mwamba Atiliwa Sumu, Aharibika Vibaya…!

MWANAMUZIKI na muugizaji wa filamu nchini Tanzania Pacho Mwamba ameharibika vibaya mwilini baada ya kutiliwa sumu kwenye kinywaji chache hivi karibuni. Taarifa ambazo mtandao wa Thehabari umezipata ni kwamba Mwamba kwa sasa amevimba uso na kuharibika (kuvimba) baadhi ya sehemu za mwili wake baada ya kujikuta anatumia simu hiyo bila yeye kujua. Chanzo cha kuaminika kinasema msanii huyo wa filamu …