Jaji Mkuu Tanzania Amtembelea Rais Kikwete Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Novemba 16, 2014 alikutana na kufanya mazungumzo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na ujumbe wake. Aidha, Rais Kikwete amewashukuru Watanzania kwa maelfu ya salamu za upendo kwake zikimtakia heri aweze kupona ambazo Rais amekuwa anapokea. Rais Kikwete pia huenda akatolewa nyuzi katika siku tatu zijazo ikiwa maendeleo …