Serikali ya JK Yajivunia Umoja, Amani na Utulivu

Na Frank Mvungi, MAELEZO SERIKALI imeendelea kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kipindi cha miaka kumi. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete wakati wa mkutano na vyombo vya habari jijini Dar es salaam. Mhandishi Madete alisema kuwa suala la muungano ni miongoni mwa …