Global Peace Foundation Yaandaa Mkutano Kudumisha Amani

  Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa kongamano hilo, …

Mkutano wa Amani, Umoja na Utulivu Tanzania…!

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye mkutano huo.  Viongozi mbalimbali wakiwa …

Watanzania Watakiwa Kuing’ang’ania Amani…!

Na Frank Mvungi – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mshikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa shirikisho la vyama vya watu …

JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, amelisifia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutaja mafanikio yake makuu katika miaka 50 ya uhai wake, akisisitiza kuwa ni Jeshi imara na bora linaongozwa na misingi ya uzalendo, utii na nidhamu ya hali ya juu. Rais pia amesema kuwa kwa amani, utulivu na usalama …