Mama Kanumba Alia Ukumbini…!

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba (The Great) juzi jijini Dar es Salaam alijikuta akiangua kilio hadharani kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Filamu Tanzania kwa mwaka 2015 (Tuzo za TAFA 2015). Tukio hilo lilitokea mara baada ya kutangazwa kwa marehemu Steven Kanumba kutwaa tuzo ya msanii aliyechangia kiasi kikubwa kukua kwa tasnia ya filamu nchini …