UN Yaomba Juhudi Ziongezwe Kukabili Wauaji Albino

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye  anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake …

RC Mwanza Aapa Kumsaka Albino Aliyepotea, Hadi Kieleweke…!

Na Atley Kuni, Ofisa Habari Mwanza SERIKALI mkoani Mwanza imesema hakuna kulala hadi mtoto Pendo Emmanuel (Albino) apatikane kufuatia tukio la kutekwa na watu wasiojulikana toka tarehe 27.12.2014 katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza na kisha kutoweka naye kwenda kusiko julikana hadi sasa. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo, …