Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. …
Prisca Mpesya Mama Anayeteseka na Watoto Albino
Ndugu zangu, LICHA ya kuuguza jeraha la kichwani pamoja na kumuuguza mtoto wake mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) aliyekatwa mkono na watu wasiojulikana, Bi. Prisca Shaaban Mpesya (28) amejifungua usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa Mbeya. Bi. Prisca, mkazi wa Kitongoji cha Kikonde, Kijiji cha Kaoze katika Kata na Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, alifikishwa …
Mwanahabari Ajitolea Kupambana na Mauaji ya Albino
Na Mwandishi Wetu MMOJA wa watu wenye ulemavu wa ngozi, albino na mwanahabari shupavu kutoka kampuni ya Mwananchi Communication, Henry Mdimu amejitolea kuwa balozi wa hiyari kupinga mauaji ya kikatili ya watu wenye albino yanaoendelea nchini. Bw. Mdimu ambaye ameungwa mkono na baadhi ya marafiki na watu wanaokerwa na vitendo hivyo, ikiwemo Chama cha Bloggers nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) amesema ameamua kufanya hivyo …
Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!
Katika makala iliyopewa jina la “Love in a Time of Fear: Albino Women’s Stories From Tanzania”, iliyorushwa kwenye gazeti la intaneti la Huffington Post (tarehe 25/10/2013 na kuhuwishwa tena tarehe 23/01/2014) kutoka Marekani, ililbaini kwamba wanasiasa wa Tanzania wanahusishwa na mauaji ya albino, na kipindi cha uchaguzi ndio kipindi hatari kwa maisha ya albino nchini. Kuhusishwa huko kwa wanasiasa wa Tanzania, …
Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?
Na Evarist Chahali 25/2/2015 “Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.” Huu ni ubeti wa wimbo maarufu ambao ‘zamani hizo’ tulipouimba tulijisikia ‘raha’ flani kuhusu nchi yetu. Tulikuwa na kila sababu za kuipenda Tanzania kiasi …
Albino Kumfuata Rais Kikwete Ikulu Kuhoji Vifo
Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat …
- Page 1 of 2
- 1
- 2