Al Shabaab Wauwa Wanausalama 15 Somalia

WANAMGAMBO wa kundi la Al Shabaab wamewaua walinda usalama 15 nchini Somalia baada ya kufanya shambulizi katika mji ulio karibu na Mji Mkuu wa Mogadishu. Maofisa wanasema kuwa wanamgambo hao wa kundi la Al Shabaab awali wanadaiwa kuwa walishambulia kizuizi cha polisi cha Afgoye ambapo waliwaua askari polisi watatu pamoja na kupora magari kadha. Kisha baadaye wanadaiwa kuwavamia na kuwaua …

Kenya Yajibu Mapigo, Yashambulia Eneo la Al-Shabaab

NDEGE za kivita za Jeshi la Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Al-shabaab katika taifa jirani la Somalia, taarifa kutoka jeshi hilo zimesema. Ndege hizo zililenga maeneo mawili ya Jimbo la Gedo,linalotumiwa na wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza. Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya. Wanajeshi wa AMISOM walitarajiwa kupeleka …

Kenya Wavamia Kambi ya Al-Shabaab, Waua Wapiganaji 100

MAKAMO wa Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa askari wa usalama wa Kenya wamewaandama wapiganaji wa Al-Shabaab hadi kwenye kambi yao nchini Somalia, baada ya shambulio dhidi ya basi Kaskazini – Mashariki mwa Kenya hapo jana ambapo raia 28 wa Kenya waliuliwa. Ruto alisema wapiganaji zaidi ya 100 wa kundi la Al-Shabaab waliuliwa katika operesheni mbili tofauti zilizofanywa na …