Tarsis Masela wa Akudo Kuzinduwa Albamu ‘Acha Hizo’

UZINDUZI wa albamu ya Mwanamuziki nyota Tarsis Masela iitwayo ‘Acha Hizo’ unatarajiwa kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa Ten Lounge, zamani ukijulikana kama Business Park, uliopo Victoria Jijini Dar es Salaam. Katika uzindu huo bendi ya Mashujaa, Akudo Impack na Jahazi Modern Taarab, zitasindikiza usiku huo maalum wa Tarsis Masela. Akizungumza Dar es Salaam leo Masela, alisema kuwa maandalizi ya uzinduzi …