Bi. Anna Salado, Mkurugenzi wa taasisi ya Women for Africa Foundation ya Hispania, akizungumza na akinamama wa kikundi cha Green Voices katika Kijiji cha Kitanga (hawako pichani) na kueleza jinsi alivyofurahishwa na mafanikio yao kwenye usindikaji wa zao la muhogo. NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jaffo, ameunga mkono jitihada za wanawake …
‘GREEN VOICES’ Sauti za Akinamama Wapambanao na Mabadiliko ya Tabia Nchi
WANAWAKE wapatao 15 hivi karibuni walihudhuria mafunzo ya kuongeza ujuzi wa jinsi ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini Spain. Mafunzo na mradi huo vinafadhiliwa na Taasisi inayojihusisha na maendeleo ya wanawake wa Afrika, ijulikanayo kama Foundation for Women of Africa inayoongozwa na Makamu wa Rais mstaafu waSpain Mama María Teresa Fernández de laVega. Taasisi hiyo itafanya kazi na wanawake …
‘Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka’
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam ZAIDI ya akinamama 3,000 nchini Tanzania huugua ugonjwa wa fistula mara baada ya kujifungua kila mwaka, huku sababu kubwa ya kupatwa na ugonjwa huo ikiwa ni huduma duni za afya ya uzazi hasa zile huduma za dharura kwa wajawazito wanapokuwa wakijifungua. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwakilishi wa Shirika la …