Bwana Jackson Oganga akiwa anatoa maelezo kwa vijana jinsi ya kupata ‘Scholarship’ zinazotolewa sehemu mbalimbali. Mwakilishi wa Asasi ya Kiraia Global Peace Foundation (GPF) Tanzania aliyewakilisha katika Semina hiyo, Bi. Anna Mwalongo akielezea kwa kifupi kuhusu Asasi hiyo. Mshauri wa mambo mbalimbali ya Kijamii na uchumi , Bw. Anthony Luvanda akitoa masomo ya namna vijana wanavyoweza kujikwamua na kujitegemea kwa kufanya …
Vijana Tumieni Fursa Zilizopo Kujiajiri-Serikali
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Dk Leornad Akwilapo amewataka vijana kutafuta ajira sehemu mbalimbali kwa kutumia fursa zilizopo badala ya kutegemea fursa za serikali. Kauli hiyo ameitoa wakati akifungua warsha iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO, iliyolenga kuweka mkakati wa pamoja kati ya wadau …
Mfumo wa Elimu Wachangia Kukwamisha Ajira kwa Vijana
KATIKA kuadhimisha miaka 50 ya mahusiano na ushirikiano baina ya Uswisi na Tanzania, ubalozi wa Uswisi nchini umefanya mdahalo wa wazi kuhusu ajira kwa vijana ulioshirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ili kubadilishana mawazo jinsi wao wanavyofanya ili kupambana na tatizo la ajira. Mdahalo huo ambao ulifanyika katika hoteli ya Coral Beach, jijini Dar es Salaam ulijadili mambo …