Wanafunzi Waeleza Moto Ulivyoibuka Shule ya Wasichana Dar

WAATHIRIKA wa tukio la moto katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kiislamu ya Ilala iliyoteketea kwa moto jana wameeleza mazingira ya moto ulivyotokea katika ajali hiyo ambayo imepoteza mali mbalimbali za wanafunzi pamoja na kuteketeza madarasa yao. Wakizungumza na dev.kisakuzi.com eneo la tukio mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo, Kamaria Mohamed anayesoma kidato cha kwanza alisema moto uliibuka majira …

JK Atoa Pole Vifo vya Wanafamilia Ajali ya Moto

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi za dhati ya moyo wake kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiq kuomboleza vifo vya watu sita wa familia moja waliopoteza maisha kwa moto usiku wa kuamkia, Januari 7, 2015, katika eneo la Kipunguni A, Ukonga Banana, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa …