Moto Wateketeza Nyumba Kinyerezi, Mmiliki Azimia…!

      Moto uliozuka katika nyumba moja iliyopo eneo la Kinyerezi Kanga jijini Dar es Salaam umeteketeza nyumba. Baadhi ya mashuhuda walisema moto huo uliibuka eneo la jikoni la nyumba hiyo kabla ya kuanza kuenea kwa kasi maaeneo mengine. Baadhi ya mashuhuda waliueleza mtandao huu kuwa baada ya mmiliki kupewa taarifa za moto alipoteza fahamu kwa mshtuko. Hata hivyo …

Godauni la Magurudumu Lawaka Moto Sinza Lego, Dar

Moto ukiwaka jioni hii kwenye godauni moja lililopo eneo la Sinza Lego, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akijaribu kupanda juu ya ghorofa baada ya kunusurika kudondokea katika moto huo. Moto ukiendelea kuwaka huku juhudi za kuzima zikiendelea   Moto ukiendelea kuwaka katika godauni hilo. Baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio hilo la kuwaka kwa godauni. Magari yakiwa …

Hivi Ndivyo Shule ya Lindi Sekondari Ilivyoteketea kwa Moto

                    SHULE ya Sekondari Lindi iliyopo Mkoa wa Lindi imeteketea kwa moto. Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda zinasema chanzo cha moto huo ni hitlafu ya umeme iliyosababisha cheche na baadaye kuzuka moto. Hata hivyo Jeshi la Polisi mkoani hapa bado linaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo ya moto. …

Yadi ya Mabasi ya UDA Yanusurika Kuteketea kwa Moto

YADI ya mabasi ya UDA iliyopo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam imenusurika kuteketea kwa moto baada nguzo inayosafirisha umeme mkubwa barabarani kuangukia uzio wa yadi hiyo na kusababisha shoti kabla ya kuanza kuwaka moto baadhi ya majengo ya yadi hiyo. Moto huo ulioanzia kwenye nyaya za umeme baada ya kuanguka kwa nguzo na kukatika kwa nyaya …

RC Makonda, Mrisho Mpoto Waisaidia Shule Iliyoungua Dar…!

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na Msanii maarufu wa kughani mashairi katika nyimbo, Mrisho Mpoto wameahidi kuisaidia magodoro 110 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kiislamu ya Ilala iliyoteketea kwa moto juzi usiku. Mkuu wa Mkoa Makonda ameahidi kutoa magodoro 100 alipoitembelea shule hiyo inayomilikiwa na Taasisi ya Maendeleo ya Kiislamu (IDF), kwa ajili ya …