Basi la Luwinzo Lagonga Lori Nyuma, Laua na Kujeruhi

Juu ni baadhi ya picha za ajali hiyo BASI la abiria la kampuni ya Luwinzo lifanyalo safari zake za Dar es Salaam na Njombe lemepata ajali na kuua abiria watatu na kujerui baadhi ya abiria. Taarifa za awali zinasema ajali hiyo imetokea eneo la Kinegembasi, ambapo dereva wa basi hilo lililokuwa likitokea Njombe kuelekea Dar es Salaam ameligonga roli la …

Vifo vya Watu 19 katika Ajali Singida Vyamgusa Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Perseko Kone kufuatia vifo vya watu 19 wakiwemo Askari Polisi wanne (4) na Viongozi watatu wa Kijiji kufuatia ajali ya barabarani iliyosababishwa na basi lililokuwa likitokea Kigoma kuelekea Dar es Salaam katika Barabara kuu ya Singida – Dodoma. Ajali hiyo ilitokea …