MKURUGENZI Mkuu wa Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu, Dk. Hellen Kijo Bisimba amepata ajali leo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata Dk. Hellen Kijo Bisimba amepata ajali hiyo jirani na eneo la Jolly Club jijini Dar es Salaam muda mfupi uliopita na kwa sasa amekimbizwa katika hospitali ya Aga Khan …