Aisha Madinda Kuzikwa Leo

ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa muziki wa dansi toka bendi ya Twanga pepeta, Aisha Madinda aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam. Awali mazishi ya msanii huyo yalikuwa yafanyike jana lakini yaliahirishwa kutokana na familia kuwa na utata juu ya kifo cha Aisha Madinda. Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda yaliyokuwa yafanyike Alhamis hii yameahirishwa hadi Ijumaa ili …