Muuguzi Ahukumiwa Kifo kwa Kutoa Mimba

MUUGUZI Jackson Namunya Tali (41) nchini Kenya amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumtoa mgonjwa mimba iliyosababisha kifo baada ya kuvuja damu nyingi mfululizo. Hukumu hiyo kali kutolewa nchini kenya kwa makosa kama hayo imetolewa na Jaji Nicholas Ombija wa Mjini Nairobi, Muuguzi Tali kupatikana na kosa la kusababisha kifo cha msichana, Christine Atieno katika Kituo cha Afya …