Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

MKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeambiwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa ya mlipuko. Aidha, mkutano huo uliofanyika, Januari 27, 2015, katika mji mkuu wa Ujerumani wa Berlin, umeambiwa kuwa ugonjwa huo wa ebola umethibitisha kuwa mifumo wa afya ya umma kwa baadhi ya nchi bado ni …

Pinda Aalika Wawekezaji Sekta za Afya, Kilimo na Nishati

*Obasanjo asisitiza ajira kwa vijana Afrika   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imefungua milango kwa wawekezaji kwenye sekta zote lakini mkazi unaelekezwa zaidi kwenye sekta ya afya, kilimo hasa usindikaji mazao, nishati na miundombinu. Ametoa kauli hiyo Oktoba 20, 2014 wakati akishiriki Mjadala wa Marais (Presidential Keynote Panel) kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika uliolenga kuonyesha fursa za uwekezaji …

Wagonjwa Walazwa Chini Hospitali ya Temeke!

Bango la hospitali ya Temeke, linalo onyesha utaratibu wa kuona wagonjwa kama lilivyonaswa na Mpiga picha wetu. Ndugu ambaye hakufahamika jina lake, akiongea na mgonjwa wake, ambaye amelazimika kulala chini ndani ya wodi namba 4 kwenye hospitali hiyo ya rufaa ya mkoa wa Temeke. Uchunguzi wetu uligundua kwamba, hospitali hizi zimepandishwa hadhi mwaka jana na kuwa hospitali za rufaa za …

Huduma za Dharura kwa Wazazi Kibiti Zaokoa Maisha ya Mama na Mtoto

Na Joachim Mushi, Kibiti MGANGA Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kibiti, Chagi Jonas Lymo amesema uwepo wa huduma za dharura kwa wajawazito katika kituo hicho cha afya umesaidia kiasi kikubwa katika uokoaji wa maisha ya mamamjamzito pamoja na vifo vya watoto eneo hilo. Lymo ametoa kauli hiyo leo mjini Kibiti alipokuwa akizungumza na Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa …