Wabunge wa uzazi salama wataka bajeti ya afya ya uzazi na mtoto kuboreshwa

    WABUNGE wa kundi la uzazi salama wametakiwa kuhamasisha na kutetea Bajeti ya Afya ya Uzazi na Mtoto ili ipewe kipaumbele katika mipango ya Halmashauri kwa mwaka 2017/2018. Hamasa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kundi la Wabunge wa Uzazi Salama, Mh. Jenista Mhagama wakati akifungua mkutano uliowakutanisha wabunge wa kundi hilo wapatao 30 pamoja na Muungano wa Utepe Mweupe …

Utashi wa Rais Magufuli ni Suluhisho la Vifo vya Uzazi Nchini

        IMEELEZWA kwamba utashi wa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na moyo wa huruma atakaouonesha juu ya matukio ya vifo vitokanavyo na uzazi ni suluhisho la kudumu la janga la vifo hivyo ambavyo kila siku vimekuwa vikipoteza maisha ya mama na mtoto. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mratibu wa Taifa wa …

Idadi ya Vifo vya Wachanga Vyaendelea Kupungua

Na Emanuel Madafa, Mbeya IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua mkoani Mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014 ambapo ni sawa na asilimia 5.7. Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja. Akizungumza jijini …

Waandishi wa Mitandao ya Kijamii Wapewa Elimu ya Afya na Uzazi

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam BAADHI ya wanahabari wa mitandao ya jamii jijini Dar es Salaam wamepewa mafunzo juu ya taarifa za uzazi na afya ya mama na mtoto ili waweze kuelimisha zaidi jamii kupitia mitandao yao dhidi ya taarifa hizo. Akizungumza wakati akifungua semina hiyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), …