NMB Yawezesha Wakunga Muhimbili Kutoa Huduma za Afya Bure

              CHAMA cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili chini ya udhamini mkuu wa Benki ya NMB kimetoa huduma za afya mbalimbali bure jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya siku ya wakunga duniani. Akizungumza leo na mwandishi wa habari hizi katika tukio hilo linaloendelea Hospitali ya …

Mkuu wa Wilaya Muheza Awatembelea Waliopasuliwa Macho

MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari wakati alipokwenda kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa. Baadhi …

Hospitali ya Kairuki Yatoa Huduma za Macho Bure

 Daktari Bingwa wa magonjwa ya macho Dk. Mustafa Yusufali akimpima macho, Alphonce Joseph mmoja wa wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi  ya  Hayati Prof. Hubert Kairuki, ambapo upimaji wa awali wa afya ya macho umefanyika kuanzia Februari 3-4 kwa gharama za hospitali hiyo pamoja na utoaji wa …

Wakazi Dar Wameza Vidonge vya Minyoo, Matende na Mabusha

Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam mwezi huu na inatarajiwa kuendelea katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na Pwani. Mikoa iliyobakia itafanya kampeni hiyo itafanyika kwa awamu kati ya Januari na Februari mwaka huu. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia …

THPS Yakabidhi Msaada wa Vifaa Vituo vya Afya Unguja na Pemba

Mkurugenzi  Mtendaji wa THPS, Dr. Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za computer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao. Naibu Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum akitowa shukrani kwa msaada huo wa Seti za Kumputer uliotolewa na THPS kwa ajili ya Vituo vya Afya Vinane vya …

Mabadiliko Katika Upasuaji

SEKTA ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni yanayohusika na kutengeneza vifaa vya tiba hivi sasa yanalenga katika kutengeneza roboti ambazo hufanya …