TUNAPOELEKEA kuuanza mwaka 2015, tumeshuhudia vyombo vya habari nchini vikiwa mstari wa mbele katika kubaini na kutangaza matukio ya ukatili na utelekezaji wa watoto unaofanywa na akina dada, wazazi ama ndugu wa karibu sana na watoto husika. Kuongezeka huko kwa taarifa za ukatili dhidi ya watoto ni matokeo ya juhudi mahsusi zinazotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …
Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu
Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia. Akifungua semina ya kuhamasisha mataifa ya Afrika kuiunga mkono mahakama hiyo mjini Addis Ababa, Ethiopia mwishoni mwa wiki, Jaji Ramadhani alisema …
Afrika ni Salama Licha ya Kuwepo Ugonjwa wa Ebola – Rais Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi za Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa …
Tanzania Kuongoza Afrika Maboresho Utoaji Haki za Watuhumiwa
TANZANIA KUONGOZA NCHI ZA AFRIKA KATIKA MABORESHO YA UTOAJI HAKI ZA WATUHUMIWA NA MAHABUSU Utekelezaji wa miongozo ya Luanda kuimarisha haki za binadamu nchini UTEKELEZAJI wa Miongozo ya Luanda (Luanda Guidelines) kuhusu ukamataji na ushikiliaji wa watuhumiwa kabla ya kufunguliwa mashtaka utakaoanza hivi karibuni unatarajiwa kuimarisha haki za watuhumiwa na mahabusu nchini. Aidha, miongozo hiyo inatarajiwa kuipunguzia Serikali mzigo mkubwa …
- Page 2 of 2
- 1
- 2