Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika 2015 Yazinduliwa

KUTOKANA na hali ya huduma ya miundombinu ya usafirishaji kuwa duni na ya aghali imeshindwa kukuza biashara na uchumi katika kiwango kinachotegemewa katika mataifa mengi ya barani Afrika. Sekta ya huduma ya miundombinu ambayo ni kichocheo kikubwa katika kukua kwa uchumi imeshindwa kuleta mageuzi ya kutosha. Taarifa hiyo imebainishwa katika Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya …