Rais Obama Awatolea Uvivu Viongozi wa Afrika…!
RAIS wa Marekani Barrack Obama, amewapasha viongozi wa Afrika ambao wanaendelea kung’ang’ania madarakani hata baada ya Katiba kutowaruhusu kuendelea kuwania tena nyadhifa zao za urais. Katika hotuba ya kwanza ya Rais wa Marekani kwa muungano wa Afrika katika makao makuu ya umoja huo mjini Addis Ababa, amesema kuwa Afrika haitapiga hatua iwapo viongozi wake watakataa kuondoka madarakani baada ya muda …
Nchi za Afrika Zaweka Msimamo Dhidi ya IMF na WB
WAKATI Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la kifedha la kimataifa ikiendelea hapa Mjini Washington Dc. Mawaziri wa fedha wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia. Akizungumza na vyombo vya habari,waziri wa fedha wa Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya alisemaā€¯ Sisi kama nchi tuliwasilisha nini tunaona katika utekelezaji wa mipango ya Benki. Tumeshukuru sana …
APRM Afrika Yapata Bosi Mpya
Na Mwandishi Wetu MARAIS wa nchi za Afrika zinazoshiriki katika Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) wamemteua Prof Adebeyo Olukoshi rais wa Nigeria kuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango huo kwenye makao makuu yake yaliyoko Midrand, Afrika Kusini. Kabla ya uteuzi wake Prof. Olukoshi alikuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Umoja wa Mataifa cha Maendeleo ya Uchumi (UN African Institute for …
- Page 1 of 2
- 1
- 2