Kiongozi CCM Aanguka Kikaoni Afariki Dunia

SALMIN Awadhi Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa katika kikao cha CCM Ofisi Kuu ya chama hicho Kisiwandui. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Utawala Baraza la Wawakilishi (BWZ), Amour M. Amour ilisibitisha kutokea kwa kifo hicho na ikaendelea kueleza kuwa Awadhi anatarajiwa kuzikwa kesho …