ActionAid Yakutanisha Wadau Kujadili Malengo Mapya ya Milenia

ACTIONAid kwa kushirikiana na taasisi ya Landesa imekutanisha wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia ‘Post 2015 Sustainable Development Agenda’ yanayotarajiwa kutekelezwa kwa nchi zilizokubaliana. Akiwasilisha mada Ofisa Uchumi, Andrew Aloyce kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango alisema serikali imejipanga vema katika kutekeleza malengo mapya 17 ya Milenia yaliyopendekezwa …