ACT Wazalendo Wazungumzia Polisi Kuvamia Kampeni na Kuzuia Gari

Ndugu Watanzania MAGAZETI kadhaa ya leo yameandika juu ya Taarifa za Kiongozi wa Chama chetu, ndugu Zitto kutafutwa na Jeshi la Polisi huko Kahama kwa sababu ya Uchochezi kutokana na hotuba mbalimbali alizozitoa wakati wa mikutano ya Kampeni Wilayani humo, hasa zilizohusu tishio la baa la njaa nchini. Jeshi la Polisi leo limejitokeza kutoa taarifa ya kujikanganya juu ya suala …

Hotuba Zima ya Kabwe Zitto Mkutano wa ACT Wazalendo Dar

Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndgugu Kabwe Z R Zitto kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama iliyoketi jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili 2016 Ndugu Mwenyekiti wa Chama, Ndugu Makamu Wenyeviti wa Chama, Ndugu Katibu Mkuu Ndugu wajumbe wa Kamati Kuu Ndugu Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mabibi na Mabwana: LEO tunakutana miezi sita baada …

ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinasikitishwa sana na mauaji yanayoendelea nchini Burundi na hasa Mji Mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Hali hii ya mauaji imesababishwa kwa kiasi kikubwa na uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo Ndugu Piere Nkurunzinza kuendelea kugombea na hatimaye kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo katika mazingira yanayodaiwa kuvunja demokrasia na utawala bora. Tangu machafuko hayo ya …

ACT Wazalendo Kuandamana Kumponge Rais Magufuli…!

JANA arehe 10/12/2015 Uongozi wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar Es Salaam umemuandikia barua Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kumuomba apokee maandamano yetu ya amani siku ya Jumatano tarehe 16/12/2015 yatakayoanzia ofisi za ACT-Wazalendo Mkoa yaliyopo Keko Maduka Mawili na kuishia ofisi ya Mkuu wa Mkoa (Ilala Boma). Lengo la maandamano;- Maandamano yetu hayo yana malengo makuu matatu 1-Kuunga …

Mbunge Viti Maalumu Chadema Atimkia ACT Wazalendo

 Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.   Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com