Viongozi wa Chadema Jimbo la Kawe Wakimbilia ACT

BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kutoka Jimbo la Kawe wamekihama chama hicho na kukimbilia Chama cha ACT, Wazalendo. Akizungumza jana na wanahabari, Naibu Katibu Mkuu, ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema wamewapokea viongozi hao na kuwagawia kadi za chama chao. Alisema tukio hilo la kupokea wanachama lukuki pia linaendelea katika mikoa mbalimbali nchini. Aliwataja viongozi toka …

ACT Waanza Kumtupia Lawama Msajili wa Vyama vya Siasa

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.  Viongozi wa chama hicho wakiwa meza kuu. Kutoka kushoto Kaimu Katibu wa chama hicho, mkoa wa Dar es Salaam, Peter Katunka, Kaimu Katibu Mkuu, Leopold Mahona, Mwenyekiti, Kadawi Lucas Limbu na Katibu Muenezi Fredy Kisena. Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (kulia) akisisitiza jambo. …

Zitto Ataja Sababu za Kujiunga ACT…!

ALIYAUWA Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele. Akimnukuu Rais wa zamani wa Ghana, Hayati Kwame Nkrumah aliyewahi kusema, ‘forward forever, backward never’, jana Zitto alisema, sasa ni wakati wa kuangalia mbele, hakuna kurudi nyuma tena huku …