Abbas Mtemvu Arejesha Fomu ya Kuomba Ubunge Tena

 Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha  Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) Dar es Salaam jana,hata hivyo mtemvu akiwa anatetea Jimbo lake. walio kushoto ni baadhi ya viongozi mbalimbali wa Jimbo la temeke wa chama hicho waliomsindikiza …