Wakulima na Wafugaji Watinga Bungeni Dodoma..!

  Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Steven Ruvuga (kulia) akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji,  kuhusu matatizo mbalimbali wanayopata wakulima na wafugaji  nchini, wakati wa mdahalo wa kujadili changamoto zinazowakabili kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa, Dodoma   Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Veronica Sophu (kulia) akiwaeleza wajumbe wa …

Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

HUKU kukiwa na ukimya, mtoto Neelofar mwenye umri wa miaka mitatu pekee amepakatwa na nyanyake katika kiti cha nyuma cha texi ikimkimbiza hospitalini. Ndani ya mwili wake kuna kijipaipu ambacho amewekewa kutumiwa kumpa dawa kama huduma ya kwanza kabla ya kufikishwa hospitalini. Mkono wake mmoja umefungwa kwa bandeji ambako kuna kifaa kinachotumiwa kuingizia maji mwilini mwake. Mtoto Neelofar yuko hali …