Mkurugenzi 8020 Fashions Aelimisha Juu ya Vipodozi vya Luv Touch Manjano

Washiriki wakimsikiliza Kwa Makini Mentor Shamim Mwasha aliyetoa Mada kwenye semina hiyo Namna ya Kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Manufaa ya Maisha yetu ya Kila siku na Kucha Kupoteza Muda Kwenye Mitandao ya Kijamii Bila Manufaa yoyote.   Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato na …