Taarifa Uchaguzi wa TFF Januari 21, 2013

Tanzania Football Federation

Taarifa Uchaguzi wa TFF Januari 21, 2013

1. Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia Fomu za waombaji uongozi wa TFF na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za TFF ibara ya 11 (1), (2) na (3), waombaji uongozi wafuatao majina yao na nafasi wanazoomba kugombea yanawekwa wazi kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.

2. Pingamizi sharti liwe kwa maandishi, lieleze kwa uwazi sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na jina kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini yake.

NAFASI S/No. JINA

RAIS WA TFF
1. Athumani Jumanne Nyamlani
2. Jamal Emily Malinzi
3. Omary Mussa Nkwarulo

MAKAMU WA RAIS WA TFF
1. Michael Richard Wambura
2. Ramadhan Omar Nassib
3. Wallace Karia

MJUMBE WA KAMATI YA
UTENDAJI –

Kanda ya 1 (Kagera, Geita) 1. Abdallah Hussein Musa
2. Kalilo Samson
3. Salum Hamis Umande Chama

Kanda ya 2 (Mwanza, Mara) 1. Jumbe Oddessa Magati
2. Mugisha Galibona
3. Samuel Nyala
4. Vedastus F.K Lufano

Kanda ya 3 (Shinyanga, Simiyu) 1. Epaphra Swai
2. Mbasha Matutu

Kanda ya 4 (Arusha, Manyara) 1. Charles Mugondo
2. Elley Simon Mbise
3. Omary Walii Ali

Kanda ya 5 (Tabora, Kigoma) 1. Ahmed Idd Mgoyi
2. Yusuf Hamis Kitumbo

Kanda ya 6 (Rukwa, Katavi) 1. Ayubu Nyaulingo
2. Blassy Mghube Kiondo
3 Nazarius A.M Kilungeja
4. Seleman Bandiho Kameya

Kanda ya 7 (Iringa, Mbeya) 1. David Samson Lugenge
2. Eliud Peter Mvella
3. John Exavery M. Kiteve
4. Lusekelo E. Mwanjala

Kanda ya 8 (Ruvuma, Njombe) 1. James Patrick Mhagama
2. Stanley W. D Lugenge

Kanda ya 9 (Mtwara, Lindi) 1. Athuman Kingome Kambi
2. Francis Kumba Ndulane
3. Zafarani Mzee Damoder

Kanda ya 10 (Dodoma, Singida) 1. Hussein Zuberi Mwamba
2. Stewart Ernest Masima

Kanda ya 11 (Morogoro, Pwani) 1. Farid Nahdi
2. Hassan Othuman Hassan
3. Riziki Juma Majala
4. Twahil Twaha Njoki

Kanda ya 12 (Kilimanjaro, Tanga) 1. Davis Elisa Mosha
2. Khalid Abdallah Mohamed
3. Kusianga Mohamed Kiata

Kanda ya 13 (Dar es salaam) 1. Alex Crispine Kamuzelya
2. Juma Abbas Pinto
3. Muhsin Said Balhabou
4. Omary Isack Abdulkadir
5. Shafii Kajuna Dauda

3. Waombaji uongozi wafuatao wameondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi:

(i) Richard Julius Rukambura; Amevunja Kanuni za Uchaguzi za TFF Ibara ya 10(8) kwa kuomba nafasi mbili za Rais na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF kwenye uchaguzi wa TFF.
(ii) Titus Osoro; Amejitoa kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF.

Imetolewa na Kamati ya Uchaguzi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania