Taa hizi ni mapambo bandia ya Jiji la Dar es Salaam?

Thehabari imewanasa wataalamu hawa kutoka kitengo cha ufundi Wizara ya Ujenzi wakifanya ukarabati taa za eneo la makutano ya Barabara ya Sekilango na Morogoro jana. Kuna haja ya kitengo hiki kuzitembelea taa hizi nyakati za usiku ili kujionea vimbwanga zaidi, maana nyingi haziwaki kabisa.

Jamani hizi taa za barabarani kila uchao zinatengenezwa hasa za katikati ya Jiji la Dar es Salaam, lakini cha ajabu haziwaki nyakati za usiku maeneo mengi ya jiji sijui ni feki.