
Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga, katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]

Baadhi ya Waislamu na wakazi wa eneo la Magomeni wakitoka Msikitini mara baada ya maadhimisho ya swala ya Eid El Hajj leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]