Sura Halisi ya Jiji la Dar es Salaam Inavyotoweka…!

Kutokana na hali ya kuongezeka kwa idadi kubwa ya majengo mapya na marefu jijini Dar es Salaam muonekano wa jiji hili umekuwa ukipoteza uasili wake kila uchao. Zifuatazo ni picha mbalimbali za muonekano wa jiji la Dar es Salaam kwa sasa kwa baadhi ya maeneo, majengo ya awali yanabomolewa kila uchao na kujengwa mapya baada ya miaka kadhaa huenda ualisia wa jiji hili wa awali ukatoweka…tafakari.