Timu ya Banana investiments ikisali kabla ya kuanza kwa mchezo.
Huyu nae alikuwa aki #BRAZUCA katika mchezo wa Sports Xtra Day Jijini Arusha.
Mbwiga mbwiguke the Captain wa Sports Xtra akiwapanga vijana wake.
Huyu kijana nae alipata wasaa wa kuongea na Shaffih Dauda kuwa ana kipaji cha utangazaji wa mpira ,sasa atafikaje hapo yeye (shaffih) alipo?
|
Captaiiiiiiiiin wa Sports Xtra Mbwiga Mbwiguke akielekea mapumziko na wenzake, pamoja na kucheza pia alitoa burudani sana kwa mashabiki na watazamaji wa Sports Xtra Day Bonanza.
Hapa ni timu ya Mega Trade investments (K-Vant) wakicheza na Kitambi Noma.
Muonekano mzuri wa uwanja wa kumbu kumbu ya Sheikh Amri Abeid na mlima Meru.
Wadhamini wa Sports Xtra Day ni Clouds Media Group, Mega Trade Investments (K -Vant), Banana Investments, SBC Company Limited (Pepsi), Zenith Media na Wazalendo 25 Blog.
Timu ya Zenith Media wakipanga mashambulizi yao |
Mshindi wa pili ni Timu ya Makocha wa Arusha wakitoka na Kombe lao.
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa MegaTrade Investments (K -Vant) Bw. Goodluck Kway akiongea machache, pamoja na kuipongeza Clouds Media Group na kuitaka waongeze makampuni mengine na mashindano yawe ya siku tatu au hata wiki nzima.
Mwakilishi toka Banana Investments akizungumza machache kuhusu shindano la Sports Xtra Day
Mwakilishi wa Zenith Media akiwashukuru waandaji wa Sports Xtra Day na kufurahia kwa Ushindi walioupata.
Shaffih Dauda akipata picha na Shabiki wa Kitambi Noma |
Wazee wa Kitambiiiiiii Noooma…..wakifurahia kwa ushindi wa raundi ya kwanza
Mbwiga Mbwiguke the Captain akipata Picha na Mashabiki wa Kitambi Noma, Kulia mwenye Box Ya huduma ya kwanza ni Jimmy Chocolate ‘Mukate’
Mchezaji wa zamani wa AFC na Zingine Cheupe akisalimiana na Mbwiga Mbwiguke.
Mbwiga Mbwiguke na shabiki wa Kitambi Noma. |
Mchezaji Bora ni Abuu Juma wa Timu ya Makocha wa Arusha na anaichezea mtibwa ya Morogoro akipata chupa moja ya K- Vant toka Mega Trade Investment.