Skylight Band Gumzo ya Jiji la Dar es Salaam…!

John Music akiiendelea kutoa burudani ya nguvu huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na wa pili kutoka kushoto ni Baby na kulia ni Jessie.

John Music akiiendelea kutoa burudani ya nguvu huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na wa pili kutoka kushoto ni Baby na kulia ni Jessie.


Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar

Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music akiimba kwa hisia kaliii huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Baby na wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na kulia ni Jessie

Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakionyesha mbwembwe zao za kulisakata sebene kwa mashabiki wao, ambapo jioni ya leo watakuwepo kama kawaida kwenye kiota cha maraha Thai Village

Jessie(katikati) akiimba kwa raha zakee ndani ya Thai Village akipewa sapoti na Baby pamoja na Aneth Kushaba AK47

Sam Mapenzi akiimba Naija Flava njoo leo umshuhudie kwa macho yako…Skylight Band ndio kila kitu huna haja ya kwenda disco unapata kila kitu hapa hapa.

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Sony Masamba kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) kwenye kiota cha maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita ambapo leo wataendelea kutoa kuwaburudisha mashabiki wake kama kawaida kuanzia saa tatu usiku.

DSC_0021

Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na muziki safi kabisa wa ladha na vionjo vya kila aina ikiwemo Reggae, Kwaito, Naija Flava, R&B, Zouk na zingine kibao bila kusahau sebene pale kati Joniko Flower anahusika sana sambamba na Sony Masamba.