
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akishauriwa jambo na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Ngwaranga, jimboni humo, jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

Wananchi wakiulaki kwa shamrashamra msafara wa Sioi kijiji cha Ngwaranga

Mgombea wa CCM Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba wakisalimia wananchi walipowasili kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo, jana