Simba yaingia nusu fainali Kagame, yaichapa Bunamwaya 2-1


Mchezaji wa timu ya Simba, Haruna Moshi (kulia) akipiga mpira huku pembeni yake akizuiwa na mchezaji Seku Ronald wa timu ya Bunamwaya katika mchezo war obo fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es Salaam. Simba iliibuka mshindi katika mchezo huo baada ya kuichapa Bunamwaya magoli 2 kwa moja, kwa ushindi huo Simba imeingia katika hatua ya nusu fainali.