
Juma Kaseja wa Simba akinyanyua juu Kikombe cha Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom

Baadhi ya Mashabiki wa Simba wakishangilia kipigo cha kutisha kwa Yanga (5-0)

Ni kilio kwa Yanga na Kicheko kwa Simba

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakivishwa medali za Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom