Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Phraim Mafuru akizungumza katika uzinduzi wa bia mpya ya Senetor Extra Lager ambayo imeanza kuzaliashwa na kusambazwa na kampuni hiyo. Bia hiyo inawalenga wachapakazi wa hali ya chini kabisa, wakulima, wavuvi na wengineo wa kanda ya ziwa na majirani zake. Bia ya Senetor itauzwa kwa bei nzuri yaani sh. 1,300.