
Mpiganaji Hassan Abbas akipongezana na mawakili wenzake baada ya kuapishwa kuwa wakili wa Mahakama Kuu na Jaji Mkuu nchini.

Hassan Abbas (kushoto) akiwa na wakili wa kujitegemea, Ridhiwan Kikwete katika hafla hiyo ya muapishwa. Mpiganaji Abbas kwa sasa ndiye Ofisa Uhusiano wa taasisi ya APRM.