
Msanii wa moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania akicheza na nyoka aina ya chatu.

Washiriki wa Tamasha hilo jamii ya kimasai nao hawakuwa nyuma. Pichani kikundi cha sanaa cha wanawake wa kimasai wakiimba kwenye Tamasha la Jinsia Tanzania 2013

Washiriki wa Tamasha hilo jamii ya kimasai wakifurahiya jambo kwenye Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 .

Ngoma na mbwembwe zake bwana! Pichani ni moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania vikitoa burudani.
Ngongoti na ngoma…! Pichani ni moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania vikitoa burudani.