Show ya Wema Sepetu Kuanza Kuonekana EATV Staa Wema Sepetu Show ya Staa Wema Sepetu (Aliyewahi kuwa miss Tanzania miaka ya nyuma) itaanza kurushwa hewani na television ya EATV kuanzia tarehe 15-10-2013 saa 9:30PM