Shirika la Posta Tanzania Lajivunia TEHAMA

Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara kutoka Shirika la Posta Tanzania, Fortunatus Kapinga akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio ya shirika hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa huduma za shirika hilo hali ambayo imeongeza tija. Kulia ni Meneja barua Bi Fadya Zam.

Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara kutoka Shirika la Posta Tanzania Bw. Fortunatus Kapinga akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu  utaratibu wa Shirika hilo kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao kupitia vituo vya Mawasiliano ya jamii (Community Information Centres) ambapo huduma hiyo  kwa sasa inatolewa katika Ofisi za Zanzibar, Arusha, Bagamoyo, Mwanza na Mbeya. Kushoto ni Meneja Mifumo ya Mawasiliano Bw. David Mtake na mwisho ni Meneja Masoko, David George. (Picha na Frank Mvungi-MAELEZO)