Sheria Ngowi Afunika Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014007
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014006

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014008

Na
Mwandishi wetu

MBUNIFU wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania,
Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya
kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes
Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg,
Afrika Kusini.

Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita
‘PRIDE’ yaani kujivunia,  kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl.
Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru
Afrika.

Afrika Kusini ilizizima na kuduwaa kwa muda
usiopungua dakika 15 pale ambapo mavazi mbali mbali yaliyobuniwa na Ngowi
yalipokuwa yakioneshwa katika ukumbi wa Melrose
Arch.

Sheria Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aina ya
suti yenye ubunifu na ueledi wa hali ya juu kwa kutumia vitambaa vya kisasa
na kale vilivyonakshiwa kwa maua na rangi za kuvutia kama nyekundu,
zambarau, machungwa, nyeupe na nyeusi  huku mengine yakiwa bila maua lakini
yaliyong’aa kwa kutumia rangi imara kama blu, kahawia na
kijivu.

Onyesho hilo la Mercedes Benz Fashion Week Africa
2014 lilihudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa umma kutoka
Afrika kusini, Balozi wa Tanzania Afrika Kusini, Radhia Msuya, wabunifu wa
mavazi kutoka nchi za Afrika kama Taibo Bacar kutoka Mozambique, David
Tlale kutoka Afrika Kusini, waandishi wa habari kutoka sehemu mbali mbali
za dunia na wadau wa mitindo.

Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 ni onyesho la
kimataifa linalofanyika nchini Afrika Kusini mara moja kwa mwaka
likikusanya zaidi ya wabunifu wa mavazi 35 kutoka Afrika kwa ajili ya
kuonesha ubunifu wa mavazi yao ambapo kwa mwaka huu Sheria Ngowi ni mbunifu
pekee aliyechaguliwa katika onyesho hilo kutoka
Tanzania.

Sheria Ngowi anasifika kwa ubunifu wa mavazi aina ya
suti, kanzu,sare za makampuni, mashirika, shule na hafla mbalimbali kama
harusi.Mbunifu huyu alifungua rasmi ofisi zake zilizopo Masaki, mtaa wa
Buzwagi mkabala na Ubalozi wa Angola mwaka mmoja na nusu uliopita ambapo
alianza kazi kwa kuwatengenezea mavazi watu kutoka nchi mbalimbali
duniani.

Pongezi nyingi kwa Sheria Ngowi, unaipeperusha vyema
bendera ya Tanzania kwa kipaji chako na kazi zako
nzuri.

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014015

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014001-1

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014002

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014003

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014004

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014005

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014009

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014010

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014011

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014012

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014013

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014014

 

KAWAIDA

*Na Mwandishi wetu*

*Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha
kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la
mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa
2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.*

*Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita ‘PRIDE’ yaani kujivunia,
kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na
viongozi mashuhuri waliopigania uhuru Afrika.*

*Afrika Kusini ilizizima na kuduwaa kwa muda usiopungua dakika 15 pale
ambapo mavazi mbali mbali yaliyobuniwa na Ngowi yalipokuwa yakioneshwa
katika ukumbi wa Melrose Arch.*

*Sheria Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aina ya suti yenye ubunifu na
ueledi wa hali ya juu kwa kutumia vitambaa vya kisasa na kale
vilivyonakshiwa kwa maua na rangi za kuvutia kama nyekundu, zambarau,
machungwa, nyeupe na nyeusi  huku mengine yakiwa bila maua lakini
yaliyong’aa kwa kutumia rangi imara kama blu, kahawia na kijivu.*

*Onyesho hilo la Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lilihudhuriwa na
watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa umma kutoka Afrika kusini, Balozi wa
Tanzania Afrika Kusini, Radhia Msuya, wabunifu wa mavazi kutoka nchi za
Afrika kama Taibo Bacar kutoka Mozambique, David Tlale kutoka Afrika
Kusini, waandishi wa habari kutoka sehemu mbali mbali za dunia na wadau wa
mitindo.*

*Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 ni onyesho la kimataifa
linalofanyika nchini Afrika Kusini mara moja kwa mwaka likikusanya zaidi ya
wabunifu wa mavazi 35 kutoka Afrika kwa ajili ya kuonesha ubunifu wa mavazi
yao ambapo kwa mwaka huu Sheria Ngowi ni mbunifu pekee aliyechaguliwa
katika onyesho hilo kutoka Tanzania.*

*Sheria Ngowi anasifika kwa ubunifu wa mavazi aina ya suti, kanzu,sare za
makampuni, mashirika, shule na hafla mbalimbali kama harusi.Mbunifu huyu
alifungua rasmi ofisi zake zilizopo Masaki, mtaa wa Buzwagi mkabala na
Ubalozi wa Angola mwaka mmoja na nusu uliopita ambapo alianza kazi kwa
kuwatengenezea mavazi watu kutoka nchi mbalimbali duniani.*

*Pongezi nyingi kwa Sheria Ngowi, unaipeperusha vyema bendera ya Tanzania
kwa kipaji chako na kazi zako nzuri.*

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014015]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014015.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014001-1]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014001-1.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014002]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014002.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014003]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014003.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014004]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014004.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014005]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014005.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014006]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014006.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014007]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014007.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014008]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014008.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014009]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014009.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014010]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014010.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014011]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014011.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014012]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014012.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014013]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014013.jpg>

[image:
Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014014]
<http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014014.jpg>