
Bendi ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya sherehe za Mei Mosi leo

Maandamano ya wafanyakazi mbalimbali wakiandamana kuelekea Uwanja wa Mkwawani Tanga

Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania wakiandamana kwenye sherehe za Mei Mosi kitaifa mkoani Tanga

Tawi la TUGHE Polisi Tanga. Baahi ya Wafanyakazi wa Polisi Tanga wakiwa wamebeba bango katika maandamano hayo.






Baahi ya wafanyakazi wakiwa kwenye sherehe za Mei Mosi ndani ya Uwanja wa Mkwakwani Tanga.