Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe akila kiapo katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa kwake Agosti 22, 2013.
ais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Robert Gabriel Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais huyo Agosti 22, 2013.
Marais wastaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa na Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wengine jukwaa kuu uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakimpongeza Rais Robert Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa rais huyo Agosti 22, 2013.
Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakimpongeza Rais Robert Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa rais huyo Agosti 22, 2013.