
matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika.
Matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika. Picha zote zimeandaliwa na mtandao wa www.thehabari.com.