Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila katikati akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (L) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cementi cha MEIS mkoani Mtwara.
Shehena ya Mitambo ya Ujenzi Kiwanda cha Saruji Mtwara kama inavyoonekana ikishushwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha MEIS, Merey Balhabou na Mkuu wa Mkoa wa Lind, Ludovick Mwananzila wakiwa katika picha ya pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha saruji mkoani Lindi mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini china