Washiriki wakifuatilia mada mbalimbali katika warsha hiyo ya siku moja ambayo ilikuwa inazungumzia mradi wa pamoja wa upatikanaji na utekelezaji kati ya UNDP na PATH jinsi ya uanzishwaji wa Teknolojia mpya katika kupamba na magonjwa ambayo yanapatikana katika nchi za joto.
Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Neema Rusibayila akiteta jambo na Naibu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Bw. Titus Osundina wakati wa warsha ya Upatikanaji na Utekelezaji wa pamoja katika miradi ya utathimini na mipango inayowashirikisha UNDP na PATH.
Picha juu na chini ni Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Neema Rusibayila, akibadilishana mawazo na kusalimiana na baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.